Unknown Unknown Author
Title: ALLI KIBA AFUNGUKA JUU YA UTAYARI WA WIMBO WA FALLY IPUPA NA COLLABO YA DAVIDO, ASEMA ZOTE ZIKO TAYARI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Star wa bongo fleva Ali Kiba amethibitisha kuwa collabo na mkongo Fally Ipupa imesharekodiwa na iko tayari ila itatoka kama Surprise kwa m...
Star wa bongo fleva Ali Kiba amethibitisha kuwa collabo na mkongo Fally Ipupa imesharekodiwa na iko tayari ila itatoka kama Surprise kwa mashabiki wake.
Ali Kiba
Kwenye mahojiano haya Kiba pia amethibitisha kuwa collabi na Davido imefikia pazuri na muda wowote utaisikia kwenye radio yako.

About Author

Advertisement

 
Top