Mshambuliaji wa Yanga, Amisi Tambwe akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kuifungia timu yake bao pekee katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mshambuliaji wa timu hiyo, Malimi Busungu. (Picha na Francis Dande).
Msuva akimiliki mpira.
Malimi Busungu akichuana na beki wa Khartoum ya Sudan.
Golikipa wa Khartoum ya Sudan, Mohamed Ibrahimakiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Amisi Tambwe akimtoka beki wa Khartoum, Hamza Daoud.