Unaweza kusema kweli mwanamuziki Diamond ni Mtoto wa Uswahili yaani akosi kitu kipite......
Hilo Limehusianishwa na moja ya post zake alizoweka Instagram ikitafsiriwa kuwa ni 'dongo' ambalo amtupia Wema Sepetu baada ya kushindwa uchaguzi wa viti maalum CCM.....
Post iliyoweza kuzua Utata ni hii hapa:
Hili litakuwa ni ndogo la pili baada ya lile la kwanza alilompiga Jokate wakati alipopata tuzo ya MTV...
Je nikweli Diamond amemlenga Wema Sepetu?
Je nikweli Diamond amemlenga Wema Sepetu?