LINAH SANGA AIBWAGA MENEJIMENTI YAKE "NO FAKE ZONE" APATA DILI JIPYA KWA PANA MUSIQ

Linah Sanga
Baada ya Nahreel, Ben Pol kuingia mkataba na Pana Musiq wa usimamizi wa kazi zao, Leo msanii aliyekuwa chini ya No Fake Zone ‘Linah Sanga’ ameingia mkataba na Pana Musiq.

Leo Lina ametufahamisha kupitia kurasa yake ya instagram kuwa ametia wino na kampuni hio itakayokuwa ikisimamia kazi zake.
Pana Musiq
Previous Post Next Post