HUYU NDIO MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA TUZO ZA BET 2015, SI MBONGO FLEVA NI MFASIONIST MCHEKI HAPA

Millen Magesse
Mlango mwingine ni huu unafunguka kwenye historia ya Entertainment Tanzania !! Tayari duniani wanatujua kwa Tuzo nyingi ambazo zimebebwa na mastaa kama AY, Vanessa Mdee na Diamond Platnumz.. Kama bado hujajua ni kwamba mwaka huu pia kuna jina la Mbongo wetu mmoja kwenye walioteuliwa kwenye Tuzo za BET 2015.

YES.. Jina jingine sio kwenye muziki tena, ni Supermodel wa kwetu kwenye Fashion duniani, Millen Magesse ambaye ameteuliwa kwenye kipengele kipya cha BET ambacho ni BET Global Good Award.

Previous Post Next Post