Unknown Unknown Author
Title: PREMIER LEAGUE:: MANCHESTER UNITED YAIADHIBU MANCHESTER CITY OLDTRAFORD
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
OLD TRAFFORD Leo ilikuwa ni furaha na starehe kubwa baada ya Manchester United kuwabonda Jirani zao Manchester City Bao 4-2 katika Mechi...
Man U Vs Man City

OLD TRAFFORD Leo ilikuwa ni furaha na starehe kubwa baada ya Manchester United kuwabonda Jirani zao Manchester City Bao 4-2 katika Mechi ya Ligi Kuu England.
Ushindi huu wa Man United umewachimbia Nafasi ya 3 wakiwa Pointi 1 nyuma ya Timu ya 2 Arsenal na Pointi 4 mbele ya City ambao wako Nafasi ya 4.
Pia ushindi huu umemaliza uteja wa Man United wa kufungwa Mechi 4 mfululizo katika Dabi ya Manchester na kuhakikisha pia ile historia ya kutofungwa mara 5 mfululizo na Mpinzani yeyote inadumishwa.


Kipigo hiki kwa City kimeleta hali tete kabisa kwani ni kipigo chao cha 6 katika Mechi 8 na hii itafanya Meneja wao Manuel Pellegrini kuwa tumbo joto.

VIKOSI: MANCHESTER UNITED: De Gea, Valencia, Smalling, Jones (Rojo 75), Blind, Carrick, Mata (Di Maria 81), Ander Herrera, Fellaini (Falcao 83), Young, Rooney. 
Subs not used: Da Silva, Januzaj, Valdes, McNair.
Goals: Young 14, Fellaini 28, Mata 67, Smalling 73

MANCHESTER CITY: Hart, Zabaleta, Kompany (Mangala 46), Demichelis, Clichy, Jesus Navas (Lampard 73), Toure, Fernandinho, Milner (Nasri 63), Silva, Aguero. 
Subs not used: Fernando, Dzeko, Kolarov, Caballero.
Booked: Milner, Silva, Kompany
Goal: Aguero 8, 89

Referee: Mark Clattenburg


RATIBA YA JUMATATU APRIL, 13
2200 Liverpool v Newcastle

Man U Vs Man City

Man U Vs Man City

Man U Vs Man City

Man U Vs Man City

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top