
CHAMA cha mchezo wa kuongela nchini, kimeandaa mashindano ya wazi ya kuogelea ili kupata wachezaji 20 watakaoshiriki katika michuano ya dunia itakayofanyika MEXICO mwakani
Mkurugenzi wa ufundi wa chama hicho, MACHELINO NGALIYOMA amesema maandalizi ya mashindano hayo yamekamilika.
Tags
SPORTS NEWS