Unknown Unknown Author
Title: HIVI NDIVYO ILIVYOTOKEA AJALI MBAYA MAPEMA LEO KATIKA ENEO LA CHANGALAWE MJINI MAFINGA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Basi lililopata ajli kabla ya ajali hiyo Mapema leo Ajali mbaya yatokea maeneo ya Mafinga Iringa sehemu kunaitwa Changarawe ambapo ga...
Basi la Majinjah
Basi lililopata ajli kabla ya ajali hiyo Mapema leo

Ajali mbaya yatokea maeneo ya Mafinga Iringa sehemu kunaitwa Changarawe ambapo gari aina lori lilokuwa likitokea Dar kwenda Mbeya.
Gari hilo inasemekana lilikuwa likikwepa shimo kubwa lililopo katikati ya barabara na kusababisha kugongana na gari la abiria la Kampuni ya Majinjah lililokuwa likitoka Mbeya kwenda Dar. Hii ni maelezo ya trafki aliyekuwepo eneo la Tukio. 

Kontena la lori limelalia kabisa basi, na watu wengine wamelaliwa na wengine wameporomokea korongoni, mpaka sasa hakuna majeruhi ni maiti tu, wala hakuna mtu ambaye inadhaniwa amepona.
Ajali eneo la changalawe mafinga
Basi hilo likiwa limepata ajali katika eneo la Changarawe Mjini Mafinga Mkoani Iringa
Ajali eneo la changalawe mafinga
Inasikitisha abiria wakiwa wamebanwa na Kontena hilo na kukutwa na mauti papo hapo
Ajali eneo la changalawe mafinga

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top