Unknown Unknown Author
Title: BREAKING NEWS AJALI NYINGINE YATOKEA DODOMA USIKU HUU, DEREVA BODA BODA ANUSURIKA KIFO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ajali mbaya ya bodaboda imetokea usiku huu maeneo ya barabara kuu kwenye mataa yaendayo Area D ambapo Dereva wa Bodaboda kagongwa na gari ...
ajali dodomaAjali mbaya ya bodaboda imetokea usiku huu maeneo ya barabara kuu kwenye mataa yaendayo Area D ambapo Dereva wa Bodaboda kagongwa na gari ndogo iliyokuwa inatoka maeneo ya mjini kuelekea Area D
ajali dodoma

ajali dodoma
Dereva Bodaboda huyo akiwa anaugulia maumivu ya mguu mara baada ya kupata ajali na kunusurika kifo hivi punde katika mataa ya barabara iendayo AREA D - DODOMA 
ajali dodoma

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top