Unknown Unknown Author
Title: VITUKO VYA VALENTINE'S DAY:: NDOA ZAFUNGWA KWA STAILI YAKE NDANI YA JENEZA SIKU YA WAPENDANAO, CHEKI PICHA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Miongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa siku ya Jumamosi Feb.14 katika siku ya wapendanao Valentine’s day, ni ...
Miongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa siku ya Jumamosi Feb.14 katika siku ya wapendanao Valentine’s day, ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko Bangkok, Thailand.
Ndoa Bankok
Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao.
Ndoa Bankok

Ndoa Bankok

Ndoa Bankok

Chanzo: Daily Mail

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top