Unknown Unknown Author
Title: MR. BLUE AITIKISA LINDI KWA BONGE LA BURUDANI, CHEKI PICHA ZA SHOW YAKE HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mr.Blue akikamua Juu ya Steji ya Bwalo la Maafisa wa Polisi Jumamosi iliyopita na Kuwapa Burudani ya Nguvu wakazi wa Lindi na Vitongoji ...
Mr. Blue Concert
Mr.Blue akikamua Juu ya Steji ya Bwalo la Maafisa wa Polisi Jumamosi iliyopita na Kuwapa Burudani ya Nguvu wakazi wa Lindi na Vitongoji vyake...... 
Mr. Blue Concert
M.Blue akiimba Pamoja na Mashabiki wake wakati alipotoa Burudani Mkoani Lindi ndani ya Ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi................. 
Mr. Blue Concert
Burudani iliendelea kwa Shangwe Nyingi sana................. 
Mr. Blue Concert
Mr. Blue akifurahia Jinsi Mashabiki waki walivyoweza kuipokea Show hiyo na Kusapoti kwa Kuimba nae Mwanzo Mwisho................ 
Mr. Blue Concert
Eeeehhh Kama ujuavyo UKADI lazima...................... 
Mr. Blue Concert
Kipaji Kikali cha Hip Hop kutoka Mkoani hapa Kikikamua Vilivyo Katika Steji Moja na Mr. Blue........ 
Mr. Blue Concert
Mafans wa Lindiyetu.com waliweza Kushare Happiness Na Paparazi wetu........ 
Mr. Blue Concert
Ilikuwa ni Hatari sana Maana Mzuka Ulikuwa Mwingi, fans walishow love mingi mingi na Paparazi wetu...... 
 Mr. Blue ConcertMr. Blue Concert
Wadada na Wakaka nao hawakuwa Nyuma walijitokeza kwa wingi kushow love na Byser babylon on Stage
Mr. Blue Concert

 Mr. Blue ConcertMr. Blue Concert

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top