Title: HII NDIO PICHA YA LULU ILIYOZUNGUMZIWA ZAIDI MTANDAONI....!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5
Des:
Kujiamini na kuwa na mvuto halisi ni vitu anavyo jivunia msanii wa maigizo Lulu kama anavyoonekana kwenye baadhi ya picha zake, Watoto wa...
Kujiamini na kuwa na mvuto halisi ni vitu anavyo jivunia msanii wa maigizo Lulu kama anavyoonekana kwenye baadhi ya picha zake, Watoto wa mjini wanasema ni #Natural. Hii picha aliweka saa chache baada ya siku ya wapendanao imekuwa mvuto sana mtandaoni kwa msuko wake kichwani na ujumbe wake kwenye nguo aliyovaa.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.