Unknown Unknown Author
Title: BREAKING NEWS: MKURUGENZI MKUU WA BANDARI ASIMAMISHWA KAZI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa uchukuzi amemsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa bandari Bwana Madeni Kipande kwa tuhuma za kukiuka maadili ya utoaji wa Tenda na...
 Bandari SalamaWaziri wa uchukuzi amemsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa bandari Bwana Madeni Kipande kwa tuhuma za kukiuka maadili ya utoaji wa Tenda na kuchelewesha zabuni zilizokuwa zinashinda, kadhalika waziri huyo pia ameunda tume ya watu sita kumchunguza Mkurugenzi huyo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top