YELEEEUWIII....!!! ICHEKI VIDEO YA SHILOLE AKINENGUA (KUKATA MAUNO) AKIWA NA BLAUZI TU.. NI SHEEDAH
byUnknown-
0
Kupitia Account ya Instagram Msanii Shilole ameweza kuachia Video matata ikimuonesha akikata mauno na Kuwahitaji mafans wake kuiga Mfano wake huo na wamtag kwenye account yake hiyo..... Je Unazungumziaje Suala hili ikiwa yeye kioo cha jamii? ICHEKI HAPA CHINI
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...