JERRY MURO KUIBUKA NA BALAA JIPYA, AAHIDI KUTOA DOCUMENTARY YA WAUZA MADAWA

Jerry Muro
Baada ya kutoa documentary ya mgogoro wa ardhi Loliondo ikaleta utata, sasa kutoa ya pili. Na baada ya hapo atakuja na documentary ya kuonyesha jinsi biashara ya madawa inavyofanyika nchini, atakuja na yale majina aliyo nayo rais kikwete. 
Ameyasema hayo asubuhi alipokuwa katika kipindi cha asubuhi kinachorushwa live Clouds 360 clouds tv. Akiongea kwa jazba amesema haogopi yeyote na amejitoa mhanga.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post