Unknown Unknown Author
Title: PIGO LINGINE KWA TASNIA YA MUZIKI NCHINI, MSANII WA BENDI AFARIKI DUNIA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Bendi ya muziki ya Malaika, imepata pigo kubwa baada ya kuondokewa na moja ya wanamuziki wake anayefahamika kwa jina Adaya, ambaye amepote...
Bendi ya muziki ya Malaika, imepata pigo kubwa baada ya kuondokewa na moja ya wanamuziki wake anayefahamika kwa jina Adaya, ambaye amepoteza maisha siku ya jana jijini Dar es Salaam baada ya kuugua malaria.
Akiongea na eNewz kuhusiana na tukio hili, Kiongozi wa Bendi ya Malaika, ambaye amerejea Dar akitokea Morogoro leo Christian Bella, amesema kuwa anasikitika kwa msiba huu na siku ya leo wanatarajia kukutana kwa ajili ya kuweka mipango ya msiba.

********************************************
LindiYetu.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani, Siasa, Michezo ya Africa na Nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram Twitter Na Facebook

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top