Unknown Unknown Author
Title: DIAMOND PLATNUMZ BADO MOTO WA KUOTEA MBALI, CHEKI SHANGWE ZA COKE STUDIO PALE COCO BEACH
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Licha ya kupata zomea zomea wakati wa fiesta kijana diamond ameonekana kutojali na kuwa na confidence ya kupanda jukwaani tena bila kuho...
Licha ya kupata zomea zomea wakati wa fiesta kijana diamond ameonekana kutojali na kuwa na confidence ya kupanda jukwaani tena bila kuhofia buu buu alizopata wakati wa fiesta na kufanya shoo ya kwa muda wa lisaa limoja na nusu kwenye viwanja vya Coco Beach.
Na muda wake wa kuondoka ulipofika ikabidi nguvu ya ziada itumike kuondoa mashabiki waliozingira gari lake kwa muda kadhaa wakitaka japo kumuona kijana huyo. 

Big up kwake kwa kuonesha kutovunjika moyo na kupata confidence ya kumiliki jukwaa.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top