Unknown Unknown Author
Title: DADA WA DIAMOND, ESMA PLATNUMZ ATOA MIPASHO HUKO INSTAGRAM, CHEKI HAPA VIDEO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Dada wa Mwanamuziki Diamond Anayejiita Esma Plainum Ambae Ameolewa Hivi Karibuni na Petit Man Amepost Video Kwenye Instagram Page yake H...
Esma
Dada wa Mwanamuziki Diamond Anayejiita Esma Plainum Ambae Ameolewa Hivi Karibuni na Petit Man Amepost Video Kwenye Instagram Page yake Huku Akitoa Mipasho ya Taarabu yenye Kuwananga Wanao Ona Wivu Juu Yake Kuolewa...Baadhi ya Maneno yanasikika Akiimba 'Mwaona Donge la Nini Kama Mnaweza Pandani Juu mkazibe'

Jionee Mwenyewe Hapa:

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top