Unknown Unknown Author
Title: ANGALIA PICHA YA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI DUNIANI, NI KAMA UKO HOTELINI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Shirika la ndege la Australia linalofahamika kama Qantas limeanza kurusha ndege yake ambayo inatajwa kuwa kubwa zaidi ya abiria dunian...
Qantas
Shirika la ndege la Australia linalofahamika kama Qantas limeanza kurusha ndege yake ambayo inatajwa kuwa kubwa zaidi ya abiria duniani na inayofanya safari zake kwa umbali mrefu zaidi.

Ndege hiyo iliyotwa kama Airbus A380 ilitua katika uwanja wa kimataifa wa Dallas-Fort Worth saa 15 tangu ilipoondoka Sydney, Australia safari ya Kilometer 13,805 ikiwa na abiria 480 .
Uwanja wa kimataifa wa Dallas- Fort Worth ni uwanja mkubwa wa ndege unaounganisha ndege zote za Marekani na Latin America. Uwanja huo umeonekana kufaa zaidi kwa ndege hiyo.
Angalia picha za ndani:
Qantas

Qantas

Qantas

Qantas

********************************************
LindiYetu.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani, Siasa, Michezo ya Africa na Nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram Twitter Na Facebook

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top