VIDEO::: ICE PRINCE ADATA NA KIDOTI CHA JOKATE

Rapper wa Nigeria, Ice Prince kummiss Jokate Mwegelo sio issue kubwa. Issue kubwa ni rapper huyo kulitamka vizuri jina lake la utani ‘Kidoti’.
Jokate and Ice Prince
Jokate na Ice Prince
Jokate yupo nchini Afrika Kusini kwenye majukumu yake kama mtangazaji wa Channel O na kuna kipindi wanashoot na Ice Prince Zamani. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Jokate amekuwa akishare picha na vipande vya video akiwa na rapper huyo wa ‘I Swear’.

Katika video moja wapo Jokate anasikika akimuambia 

Ice Prince: Why did I surprise you? 
Jokate akajibu: You just surprised me Ice Prince, why did you have to surprise me like that. 
Naye Ice akajibu: Cause I miss you, It’s has been a long time. I miss you Kidoti.. na kilichofuata ni kicheko tu.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post