JE MANENO HAYA YA MARTINI KADINDA NI YA BUSARA AU UDHALILISHAJI? HEBU JISOMEE HAPA

lulu na martini kadinda
Katika pitapita zangu instagram nikakutana na post aliyoiweka Martin Kadinda kuhusu mteja wake mpya Elizabeth michael aka Lulu.

Nilishangazwa sababu maneno haya hayakutakiwa kuwekwa na manager wake,labda kama ana mmanage kwenye biashara ya Ngono..
Picha hiyohapo niliyo screenshoot.
screenshot

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post