Unknown Unknown Author
Title: "MTOTO WA BOKSI" KUAGWA NA KUZIKWA LEO MOROGORO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mtoto Nasra Rashid (4) enzi za uhai wake. MWILI wa mtoto Nasra Rashid (4) Umeagwa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuanzia s...

Mtoto wa Boksi
Mtoto Nasra Rashid (4) enzi za uhai wake.

MWILI wa mtoto Nasra Rashid (4) Umeagwa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuanzia saa 2 hadi saa 3 asubuhi leo. Mwili huo baadaye utazikwa katika makaburi ya Kola, mkoani humo. Nasra alifariki dunia usiku wa kuamkia Jumapili Juni 1, mwaka huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akitibiwa baada ya kuugua kutokana na kuishi kwenye boksi kwa muda wa miaka 4.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top