Unknown Unknown Author
Title: MTANGAZAJI NGULI WA SAFARI RADIO MTWARA AFUNDWA NA AKINA MAMA...CHEKI PICHA HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mohamedi KemKem (Kushoto) akiwa na swahiba wake Ndg Muhibu Namulya ambaye ni Mtangazaji mwenzake, Safari Radio Mtwara wakati wa Big Party...
Mohamed Kem Kem
Mohamedi KemKem (Kushoto) akiwa na swahiba wake Ndg Muhibu Namulya ambaye ni Mtangazaji mwenzake, Safari Radio Mtwara wakati wa Big Party yake

Big party ya Mtangazaji Mwandamizi wa Safari Radio Mkoa wa Mtwara Ndugu Mohamedi KemKem imefanyika ukumbi wa Penisula Hapo Jana na Kuhudhuriwa na watu mbalimbali.
Mohamed Kem Kem
Mtangazaji Huyo alifundwa na akina mama jinsi ya Kumtunza Mkewe iliwaweze kuishi kwa amani na Upendo Kipindi chote cha Ndoa yao.

Mohamemdi kemkem anamuoa Miss Mtwara wa Mwaka 2012 Alice Adam na Ndoa inatarajia Kufungwa Tarehe 13/6/2014 Mkoani Mwanza na Reception Itafanyika tarehe 21/6/2014 Mkoani Mtwara katika ukumbi wa Makonde Beach.

Hizi ni Baadhi ya Picha za shamra shamra katika Sherehe hiyo::
Mohamed Kem Kem
Mohamedi Kem Kem (kushoto) akiingia ukumbini pomoja na Mpambe wake Muhibu Namulya
Mohamed Kem Kem
Mohamedi KemKem akifurahia Jambo Kutoka kwa Mwenyekiti wa maandalizi wa Shughuli hiyo
Mohamed Kem Kem
WanaKikundi Wenzake wakienda Kumpa Mkono wa Pongezi
Mohamed Kem Kem
Hapo Chacha Muda wa Kuserebuka ulifika na yeye akaliongoza Jahazi hilo hakika Ilipendeza sana.
Mohamed Kem Kem

Mohamed Kem Kem

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top