Unknown Unknown Author
Title: INAHUUU....!!!! USIBADILIKE TEMPORALY KWA SABABU TU UNATAKA UONEKANE WIFE/HUSBAND MATERIAL
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Usibadilike TEMPORARILY kwa sababu unataka uonekane Wife/Husband Material ili umu-impress mtu halafu mkifika ndani unarudia rangi-rangi za...
WEDDING DANCE
Usibadilike TEMPORARILY kwa sababu unataka uonekane Wife/Husband Material ili umu-impress mtu halafu mkifika ndani unarudia rangi-rangi zako zilezile ambazo ndio NATURAL YOU

Muache akupende kwa Ulevi wako, Kwa Umbea wako, Kwa Kutoa kwako udenda ukilala, Kwa kuwa mchafu na kutofua Boxer, Kwa kunuka kikwapa cha njano, Kwa Umaharage ya Mbeya wako, 

Kwa sababu kama akikupenda KAMA ULIVYO LEO hata mkiingia ndani ATAKUPENDA TU kwa sababu alijua aina ya mtu anayeingia naye ndoani na ameshajipanga kisaikolojia kuvumilia harufu ha Boxer zako...

Ukimuimpress kwamba hunywi kwa miezi mi3 akakuoa halafu HAMMAD...!! anakuta chupa za Ndovu stoo PATACHIMBIKA

Zimwi likujualo halikuli likakwisha, Muonyeshe rangi zako halisi akupende kwa Uhalisi wako lasivyo utaolewa leo SAWA na bajeti ya milioni 96 lakini Jiandae kuwa mjane baada ya Miezi 6 kwa karatasi ya Talaka ya Sh 50 Steshenari.

BE YOURSELF.By Seth

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top