Unknown Unknown Author
Title: RAY C FOUNDATION YAENDELEA KUHAMASISHA MATEJA KUACHA UNGA, TAZAMA PICHA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Leo Ray C Foundation tuliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya Kinondoni!!!nimeongea nao sana na kuwahamasisha waje kupata Tiba ya M...
Ray C foundation
Leo Ray C Foundation tuliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya Kinondoni!!!nimeongea nao sana na kuwahamasisha waje kupata Tiba ya Methadone Mwananyamala....nimefurahi sana kusikia kutoka Kwao kwamba na wao wamechoka na Maisha ya utumwa......
Ray C foundation
Tuko pamoja nao kuhakikisha tunawasaidia.......Ray C Foundation Pamoja inawezekana.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top