MSANII WA BONGO MUVI AWAPA MAKAVU LAIVU FOLLOWERS WAKE HUKO INSTAGRAM, CHEKI HAPA

Msanii wa Tasnia ya Muvi Bongo kwa jina anajulikana kama Esha Buheti Kupitia Ukurasa wake wa Instagram ameshindwa Kuvumilia Comment za followers wake wakimdiss kwa namna flani kutokana picha au pozi sijui, ila ameweza kufunguka na Kusema haya Baada ya Kutupia Picha Kali tatu katika Ukurasa wake huo.

Jionee Mwenyewe Hapa Bofya Hapa

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post