MPIGIE KURA MSHIRIKI KUTOKA TANZANIA KATIKA TUZO ZA AFRIMA

Ukiwa kama Mtanzania Unatakiwa Kikisapoti cha Nyumbani hebu tumia Dakika chache tu kuwapigia Watanzania waliopo Kwenye List za Kupigiwa Kura katika Tuzo za Afrimma ili Kuiletea Nchi yetu Heshima Kwa Mwaka huu kwa KuBofya link hapo Chini. Mimi Tayai Nimesha fanya yangu Je wewe unasubiri nini Kuwapa Sapoti wasanii, watayarishaji wa Muziki wa Nyumbani?

Kuingia Kupiga Kura Bofya Hapa

Hii ndio listi yangu niliyoipigia Kura:
Kura zangu Tuzo za Afrimma

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post