Unknown Unknown Author
Title: MISS TABATA 2014 YAPAMBA MOTO, WAREMBO WAENDLEA KUJINOA KWENYE UKUMBI WA DAR WEST PARK
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwalimu Pasilida Mandari anayewanoa warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 akizungumza na warembo hao wakati wa...
Miss Tabata wakiwa katika mazoezi
Mwalimu Pasilida Mandari anayewanoa warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 akizungumza na warembo hao wakati wa mazoezi.
Miss Tabata wakiwa katika mazoezi
Warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 wakiwa watokelezea kwenye pozi tofautitofauti wakati wa mazoezi yanayoendelea eneo la Tabata Dar West Park.
Miss Tabata wakiwa katika mazoezi

Miss Tabata wakiwa katika mazoezi
Warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 wakiwa kwenye mazoezi.
Miss Tabata wakiwa katika mazoezi
Mwalimu akimwelekeza mmoja wa warembo wakati wa mazoezi
Miss Tabata wakiwa katika mazoezi
Ilifika kipindi cha kutoa burudani ilikuwa ni noma sanaaaaaa!!!!!!

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top