Unknown Unknown Author
Title: MAJI HAYA SI SALAMA KWA MATUMIZI YA KIBINADANU
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mdada akichota maji kwa ajili ya matumizi nyumbani Mkaka akichota maji hayo hayo kwa ajili ya matumizi yake Wakazi wa eneo la Is...
Shida ya maji - mbeya
Mdada akichota maji kwa ajili ya matumizi nyumbani
Shida ya maji - mbeya
Mkaka akichota maji hayo hayo kwa ajili ya matumizi yake


Wakazi wa eneo la Isanga jijini Mbeya wakichota maji yaliyotuama katika barabara ya eneo hilo kwa wakati tofauti kwa ajili ya matumizi mbali mbali nyumbani kwake kama alivyonaswa na Kameta yetu, hii ni hali ya hatari sana kwa maisha ya binadamu hasa kutokana na kuwepo kwa wimbi la magonjwa ya mlipuko.
Shida ya maji - mbeya
Baiskeli zinapita hapo hapo.
Shida ya maji - mbeya
Magari pia yanapita hapo hapo.

Picha na Fadhil Atick Globu ya Jamii, Mbeya.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top