Unknown Unknown Author
Title: KAMBI YA TIMU YA ENGALND NCHINI BRAZIL MAJANGA MATUPU
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya kombe la dunia kuanza kutimua vumbi nchini Brazil makubwa yameibuka katika kambi ya timu ya taifa y...
hoteli ya Royal Tuli
Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya kombe la dunia kuanza kutimua vumbi nchini Brazil makubwa yameibuka katika kambi ya timu ya taifa ya England.

Timu ya England imepangiwa kuweka kambi yake katika hoteli ya Royal Tulip iliyoko katika wilaya ya Sao Condrado mjini Rio de Janeiro.Maafisa afya wa mji huo wameipiga fani hoteli hiyo baada ya kubaini uwepo vyakula vilivyopita muda wa matumizi (Expired food) 
Vyakula hivyo vyenye uzito wa 2.6kg ni Parma ham,Siagi pamoja na Samaki aina ya Salmon huku kesi kama hiyo ikiripotiwa huko katika hoteli ya Portobello ambako timu ya taifa ya Italia imepangiwa kuweka kambi.

Katika hoteli hiyo kumebainika zaidi ya 50kg za vyakula vibovu wakati huo huo maafisa hao wa afya wamezipiga faini hoteli hizo kutokana na kushindwa kutoa Condoms kwa wateja wake.

Hii ni oparesheni fichua uovu inayoendeshwa na mamlaka ya mji huo ili kuhakikisha fainali za kombe la dunia linamalizika salama.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top