Unknown Unknown Author
Title: HAYA NDIO MAGARI YA DORIA YA POLISI NCHINI ITALIA, CHEKI YALIVYO YA KISASA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kampuni ya magari ya Lamborghini imetengeneza gari hili maalum Huracan LP 610-4 kwa ajili ya polisi wa Italia. Magari haya yatachukua naf...
Huracan LP 610-4
Kampuni ya magari ya Lamborghini imetengeneza gari hili maalum Huracan LP 610-4 kwa ajili ya polisi wa Italia. Magari haya yatachukua nafasi ya magari ya zamani aina ya Lamborghini Gallardo ambayo tayari yanatumika kupiga doria, limeripoti shirika la habari la Italia, ANSA. Kasi yake ni kilomita 325 kwa saa. Lina kila aina ya teknolojia ya kisasa pamoja na kamera za video kupiga picha wakati ikifukuza wahalifu.
Lamborghini

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top