Unknown Unknown Author
Title: EXCLUSIVE PHOTO’S: MA SAA 4 KABLA YA KIFO CHA GEOGRE TYSON PAMOJA NA GARI ALILOPATANALO AJALI ZIKO HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Marehemu Geogre Tyson pichani hapa alikuwa yupo kijiji cha Chilonwa Chamwino kwenye utoaji wa madawati katika shule ya msingi Chaula il...
Geogre Tyson
Marehemu Geogre Tyson pichani hapa alikuwa yupo kijiji cha Chilonwa Chamwino kwenye utoaji wa madawati katika shule ya msingi Chaula iliyopo Dodoma. Baada ya kumaliza shughuli hii huku akiwa kama producer wa The Mboni Show mauti yalimkuta majira ya saa 12 jioni masaa 4 tu toka Kuanza safari ya kurudi Dar es Salaam maeneo fulani hivi kama unataka kukaribia GAIRO mjini.
Gari alilikuwa Geogre Tyson
Katika gari hilo walikuwa watu 8 ila yeye pekee ndio aliyepoteza mauti na wengine kupata majiraha mwilini pamoja na dereva wa gari hilo. Kwa sasa mwili wa marehemu umehifadhiwa mjini Morogoro katika hospital ya mkoa Morogoro, asubuhi hii mwili unategemewa kusafirishwa kurudi Dar es Salaam.
Geogre Tyson

Geogre Tyson na Mboni
>>DJ CHOKA MUSIC

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top