DOWNLOAD BRAND NEW AUDIO FROM SOUTHERN MUSIC - TAKE OVER

Southern Music
Kundi hili la Southern Music linaundwa na Wasanii watatu kutoka Pande za Mtwara nao ni Sir Robby, Man Chomo na Dot Cadio. Nyimbo hii Imefanyika katika Studio za 20 Rec Mjini Mtwara Chini ya Producer Sully.

Waweza Bofya Play hapo kuisikiliza na Kudownload pia::

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post