DIAMOND AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA HAJATOA WIMBO HIVI SASA

Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko store hazija toka nimeikuta mtandaoni na sijui imefikaje, tena ikiwa kwenye mfumo wa Voicenote, yaani haina quality kabisaa… Tafadhari, kwa yoyote atakaeipata Asiitumie kwenye media ama hadhara, kwasababu Haijatoka na haiko Qualified….
Kuisikiliza Nyimbo hiyo Bofya Hapa

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post