Unknown Unknown Author
Title: ARSENE WENGER ASAINI MKATABA WA MIAKA MITATU
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Arsene Wenger amesaini mkataba wa miaka mitatu kuendelea kusalia Arsenal hadi mwaka 2017. Wenger ameiongoza Arsenal kunyakua makombe ma...
Arsene Wenger
Arsene Wenger amesaini mkataba wa miaka mitatu kuendelea kusalia Arsenal hadi mwaka 2017.
Wenger ameiongoza Arsenal kunyakua makombe manane makubwa tangu alipojiunga na klabu hiyo ya London Septemba 1996.
Msimu huu ameweza kufuzu kucheza klabu bingwa Ulaya kwa mara ya 17 mfululizo na pia kumaliza ukame wa miaka tisa wa kombe lolote, baada ya kuchukua Kombe la FA.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top