VIDEO::LIL'WAYNE AMJIA JUU MMILIKI WA TIMU YA KIKAPU YA LA CLIPPERS BAADA YA KAULIYAKE YA KIBAGUZI KWA WATU WEUSI
Baada ya boss wa timu maarufu ya kikapu maarufu ya LA Clippers kusema, hapendi kuona ngozi nyeusi uwanjani wakati timu yake ikicheza, imepokelewa na watu mbali mbali maarufu duniani kwa hasira sana, akiwemo Raisi wa Marekani Barack Obama, kwa kitendo hicho Boss huyo, anaendelea kupata majibu ya hasira na matusi kutoka kwa watu mbalimbali duniani, si tu kwa watu weusi, imeonekana kutopendezwa hata na baaadhi ya wazungu pande mbalimbali za dunia, hii mpya ya lil’wayne akimuwakia Boss huyo.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.