PENNY AFUNGUKA KUHUSU KUPIGA PICHA YA NUSU UTUPU, SOMA HAPA

MTANGAZAJI wa DTV, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amewashtua mashabiki wake baada ya kutupia picha kwenye mtandao wa Instagram ikionesha sehemu kubwa ya tumbo lake likiwa wazi.  Kma hukuona picha hiyo basi Bofya >>>HAPA<<

Akizungumza na mwandishi wetu mara baada ya picha hiyo kuzagaa mitandaoni, Penny alisema ameitupia picha hiyo kuonesha alivyokuwa mazoezini akiwa amechoka na kujilaza hivyo asielewekevibaya.
“Nimeanza mazoezi ya nguvu sana na tayari nimeshapungua karibu kilo 10, nimefanya hivyo kwa nia ya kuuweka sawa mwili wangu, nisieleweke vibaya,” alisema Penny.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post