Wananachi wa kata ya Mwembesongo wakitemebe kwenye maji baada ya barabara ya kichangani kujaa maji...
wakitoa maji yaliyojaa dukani kwao
Masela wakijaribu kufukua mifereji kwa majembe
Mama Mjanzto akiwa na wanae akiangalia maji yakiendele kujaa kwenye nyumba yake
Bodo boda zikipita kwa shida kwenye barabara hiyo inayotoka kituo ch polisi Msamvu kueleka kichangani
Wanafunzi wa shule ya Msingi mwenmbeso wakishikana mikono kueleka nyumbani kwao baada ya maji yanayovuma kwa kasi barabara ya Kichangani kuwashinda nguvu
HAIJAWAHI kutokea kwa miaka ya hivi karibuni mkoani hapa mvua kunyesha mfululizo ambapo toka jana majira ya saa saba mchana mpaka leo mvua inaendelea kunyesha mfululizo jambo lililosababisha mitaa mbali mbali ya Manispaa hiyo kukumbwa na mafuriko.
>>>dj sek
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.