“Yes ni Kula bata kwa Kwenda mbele raha jipe mwenyewe usingoje kupewa kwani utazeeka na kujilaumu baadae..” hayo ni maneno ya mdada aliyejitambulisha kwa jina moja la sara akiwa na wenzake wakipumzika ufukweni na kufanya yao katika kusindikiza Karume Day iende kama walivyopanga kuwa…Hizi ni baadhi ya Picha zilizoweza kuchukuliwa na paparazi wetu.Wakiwa kwenye ufukwe wakutulia kabisa mjini hapa ujulikanao kama Mitem beach watoto warembo waki sindikiza Karume Day kwa style yao ya kuwa ufukweni.
LINDI KUCHELE:: WACHA TULE UJANA, CHEKI PICHA
Title: LINDI KUCHELE:: WACHA TULE UJANA, CHEKI PICHA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
“Yes ni Kula bata kwa Kwenda mbele raha jipe mwenyewe usingoje kupewa kwani utazeeka na kujilaumu baadae..” hayo ni maneno ya mdada aliyeji...
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.