Unknown Unknown Author
Title: KIPAJI KINGINE KUTOKA BONGO MOVIE CHAIBULIWA, MCHEKI HAPA NI MREMBO PIA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
'' Mulky Abdul '' Bongo Movies Actress Dada huyu amekuwa kivutio kikubwa sana wakati wa shooting ya Filamu mpya ya Mtunisy...

clip_image001''Mulky Abdul'' Bongo Movies Actress

Dada huyu amekuwa kivutio kikubwa sana wakati wa shooting ya Filamu mpya ya Mtunisy iitwayo TUGAWANE MAUMIVU hii ni baada ya TOM BOY,

Kwa mujibu wa baadhi ya watu walioshuhudia baadhi ya vipande Location wakati dada huyu alipokuwa akifanya yake waliiambia blog hii kwamba filamu hiyo huwenda ikaja kuwa habari ya mjini kupitia vipande alivyovicheza Binti huyu na Director Mtunisy,

Mashabiki hao walizidi kusisitiza kwamba mrembo huyo mbali na uzuri aliokuwa nao alicheza kwa hisia sana.

clip_image001[7]''Mulky Abdul'' katika pooooozzzz.. Apan chezeaaaaa..!clip_image001[9]''Mulky Abdul'' kulia akifuatiwa na Kabuti Onyango The best Camera man in Tz na aliovaa nguo za rangi ya Chungwa aliyeinua mguu juu ni Mtunisy hapo wakiwa Location.

Wadau kaeni mkao wa kula TUGAWANE MAUMIVU ipo mbioni kuingia madukaniiiiiiiiiiiiiiiiii...!!!

**************************

UKIWA MKOANI MTWARA HUNA HAJA YA KUHANGAIKA NA SUALA LA MALAZI NA CHAKULA NAF BEACH HOTEL NDIO JIBU LAKO

>>BOFYA HAPA LIKE PAGE UJIONEE<<

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top