HUYU NI RAY C ALIVYO KWA SASA ..JE UNAONAJE ? CUTE OR NOT?

ray c
Baada ya kuacha Madawa ya kulevya kwa sasa Ray C amenenepa sana tofauti na muonekano wake wa Mwanzoni kipindi kile cha kiuno Mfupa...
ray c
Je unapenda muonekano upi kati ya huu wa sasa na ule wa zamani wa kiuno mfupa? ....cheki picha hapo chini enzi zake...
ray c

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post