Unknown Unknown Author
Title: HUU NDIO UJIO MPYA WA FEZA KESSY “MY PAPA”. MSHIRIKI WA BBA THE CHASE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya kimya cha muda mrefu, aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa – The Chase, @FezaKessy , anatarajia...

FEZA KESSYBaada ya kimya cha muda mrefu, aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa – The Chase, @FezaKessy , anatarajia kuachia ngoma mpya iitwayo #My Papa.

Ngoma hiyo imetayarishwa na producer Nahreel. Hili ni kava la single hiyo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top