Msanii mwenye jina kubwa kwenye tasnia ya filamu bongo Wastara Juma amaesema yupo tayari kuolewa na kuishi na mwanaume yoyote atakae jaliwa na mungu lakini ole wake anaetishia kuwa atakaemuoa atakufa atambue yeye sio mungu na dunia wote tunapita hivyo ahache vitisho visivyokuwa na maana
Akifunguka kiafrika bila hofu yoyote amesema anaamini kila jambo linatokea ni mipango ya mungu na kwamba hakuna wakumtisha hapa chini ya jua maana wote tumeumbwa na mungu na kwake tutalejea
“Hakuna wakunitisha mimi namuogopa mungu tu maana ndio ananipa pumzi lakini sio binadamu mwenzangu natamka rasmi nipo tayari kuolewa na yeyote tutakaependana nae na hakuna aja ya kuogopa vitisho vya mtu”.
>> Bongoclan
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.