Tattoo inaweza kuwa urembo na kero wakati mwingine. Tattoo yenye rangi na mchoro wenye mvuto unaongeza urembo na pambo kwenye mwili ila tattoo zingine ukiziona unaweza kumuogopa mtu aliyejichora tatto hio. Hizi tattoo zingine kumi ambazo wanasema ni tofauti na tattoo zingine.









