ARSEN WENGER ASISITIZA KUIACHA ARSENAL KAMA HATOFIKIA MALENGO, MSIIMU HUU

Meneja wa timu ya Arsenal, Arsenal wenger amesema ataiacha kufundisha Arsenal kama hatatwaa kombe la FA na Kumaliza katika Top four, katika ligi kuu England, Hii ni mara ya kwanza kocha huyo kusema hayo baada ya kuifundisha timu hii ndani ya miaka 18.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post