Unknown Unknown Author
Title: MASKINI DIVA…!! MIMBA YAKE YAHARIBIKA NA ILIKUWA YA MAPACHA, CHEKI PICHA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kupitia akaunt yake ya Instagram Diva Loveness Love mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa na Clouds FM ametupia picha ikionyes...

clip_image002Kupitia akaunt yake ya Instagram Diva Loveness Love mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa na Clouds FM ametupia picha ikionyesha vichanga mapacha waliyokuwa tumboni mwake wamefariki na kumuachia simanzi.

Diva aliwahi kufunguka kuwa mwaka huu anatamani kupata mtoto na kweli alibahatika kupata mimba aliyopewa na King Crazy GK ambayo alifanya siri kubwa lakini bahati haikuwa ya kwao na mimba hiyo iliyokuwa na mapacha kuharibika.

Tazama picha na maneno aliyoshare instagramclip_image002

CREDIT TO SWAHILITZ

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top