Msichana huyu amefunguka wakati akiongea na Mwandishi wetu a kuwa anasumbuliwa sana na wanaume tena wenye familia zao na pesa zao Kisa tu jumbile lake.
“Ninakutana na vishawishi vingi kila siku, yani sina amani kila mwanaume anatamani anione nilivyo nikiwa mtupu, tena wanakuja kwa njia za pesa na magari lakini namuheshimu mume wangu. Wanawake wenzangu tujiheshimu hata kama unajijua wewe ni mzuri kama malaika muheshimu mpenzi wako usitumie kigezo cha uzuri wako kumdharau mpenzi wako na kumletea nyodo. Mmenipataaa”.
Tags
MAHABA