HII NDIYO LIST MPYA YA WANASOKA MATAJIRI DUNIANI, RONALDO AONGOZA ETO’O AMPIKU ROONEY

Kwa mujibu wa mtandao wa Goal.com, nahodha wa timu ya taifa ya Ureno na mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo ndio mwanasoka tajiri zaidi duniani.clip_image001Katika listi hiyo iliyotangazwa leo, Ronaldo amerithi nafasi ya kwanza iliyokuwa ikishikiliwa na David Beckham kwa muda mrefu kabla ya kustaafu msimu uliopita. Ronaldo ambaye alisaini mkataba mnono zaidi na Real Madrid miezi kadhaa iliyopita amempita mshindani wake Lionel Messi na mwanasoka anayelipwa zaidi kimshahara Wayne Rooney.

Samuel Eto'o ndio muafrika pekee aliyeweza kuingia kwenye listi ya wanasoka matajiri zaidi duniani.

LISTI KAMILI

1. Cristiano Ronaldo £122m
2. Lionel Messi £120.5m
3. Samuel Eto'o £70m
4. Wayne Rooney £69m
5. Kaka £67.5m
6. The Neymar family £66m
7. Ronaldinho £64m
8. Zlatan Ibrahimovic £57m
9. Gianluigi Buffon £52m
10. Thierry Henry £47m

SOURCE: Goal.com

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post