KAMA ULIKUWA HUJUI SASA UJUE WAYNE ROONEY KUBAKI MAN UNITED HADI 2019

Wapenzi wa Manchester united hii itakuwa habari ya nzuri kwao kwasababu mtu muhimu kwenye kikosi chao amesaini mkataba wa kuendelea kuichezea timu hiyo kwa muda mrefu zaidi.clip_image001Rooney amesaini mkataba wa kuendelea kuwa na club ya Manchester united kwa miaka 4 zaidi ambapo atakuwa hapo hadi 2019.

Picha kwenye instagram ya Man united ambayo inamuonyesha Rooney akisaini mkataba huo pembeni ya kocha wake imepewa caption hii “Great news for #mufc as Wayne Rooney signs a four-year contract extension keeping him at #mufc until June 2019. #rooneymufc”clip_image001[6]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post