BOSS NGASA AJIACHIA NA SNURA, CHEKI WALIVYOTOKELEZEA….!!!!

clip_image001[5]Na Mwandishi Wetu
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua mmiliki wa blog maarufu ya Bossngasa amenaswa na mwanamuziki nyota na msanii Nsura Mushi wakiwa club ya usiku ya  ROYAL VILAGE iliyopo Mkoani DODOMA jana usiku.

Kwa mujibu wa chanzo chetu kilisema Bossngasa alinaswa akiwa na mwanamuziki huyo usiku mnene hali inayoleta utata na kujiuza biashara gani waliyokuwa wanaizungumza usiku wote huo.
Hata hivyo Xdeejayz ilifanyajitahada za kumtafuta Bossngasa ili kuelezea walikuwa na biashara gani maeneo hayo ambapo kijana huyo mtanashati alisema " Wewe kijana vipi kwani kupiga picha na Snura kuna tatizo acheni hizo hayo mambo ya kuharibiana sitaki mimi mwenyewe mwandishi pia" Alifoka kijana huyo

>>xdeejayz

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post